We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, July 5, 2019

Ajib atuma salamu za shukrani Yanga

Aliyekuwa nahodha wa Yanga Ibrahim Ajib amewashukuru wadau wa Yanga kwa kumuunga mkono katika miaka miwili aliyoitumikia timu ya Wananchi
Ajib amesema amejifunza mengi Yanga na anaamini elimu hiyo itamsaidia kumjenga zaidi
"Hakika Ilikua miaka miwili bora sana kwangu, ndani na nje ya uwanja, Yanga ilikua sehemu ya familia yangu"
"Nitoe shukrani zangu za dhati kwa viongozi, benchi la ufundi, wachezaji na mashabiki wote, kwa kuniamini na kuniunga mkono katika kila jambo"
"Ni mengi nimejifunza na nina amini yatanisaidia kunijenga zaidi kama mchezaji. Asanteni sana"
"Hadi wakati mwingine tena, Wananchi..!"
Ajib amesajiliwa na Simba kwa mkataba wa miaka miwili

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list