We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, June 6, 2019

Waziri Lugola awaonya vikali Polisi kuhusu kakamata Bodaboda


Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema kuanzia Juni 15, 2019 ataanza ziara katika vituo mbalimbali vya polisi kukagua utekelezaji wa agizo lake kuhusu jeshi hilo kuzishikilia pikipiki (Bodaboda). 

Aametoa kauli hiyo leo ambapo ameeleza kuwa atapita kila kituo kwa nyakati tofauti kuangalia utekelezaji wa agizo hilo, huku akisisitiza kuwa anataka suala hilo liishe ili tuondoe malalamiko ya muda mrefu ya vijana kuhusu bodaboda zao. 

“Nawaambia nikikuta kituo chako kuna bodaboda  umezikamata tofauti  na makosa niliyoanisha ile kauli yaa niliyoisema Bungeni itatimia siku hiyo,” anasema Lugola. 

Utakumbuka May 20, 2019 akiwa Bungeni Lugola alitoa maagizo kwa polisi akitaka pikipiki zinazokamatwa na kuwekwa vituoni ni zile zilizohusika katika uhalifu, zilizoibiwa na zisizo na wenyewe badala ya kuziweka kituoni bodaboba zenye makosa ya kofia ngumu au kupakia abiria zaidi ya watatu. 

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list