We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, June 6, 2019

TFF wafunguka kuhusu Shomari Kapombe kuachwa AFCON


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema sio kweli mchezaji Shomari Kapombe ameondolewa kwenye kikosi cha Taifa Stars kitakachoshiriki AFCON bali kocha Mkuu wa Timu hiyo kesho ndipo ataweka wazi majina ya ambao ataondoka nao kwenda nchini Misri kwenye michuano hiyo. 

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list