We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, June 20, 2019

Tanzania ina Wakimbizi zaidi ya laki tatu, UNHCR yatoa ujumbe

Leo June 20, 2019 Ni siku ya wakimbizi Duniani ni siku ya kutambua utu kwa vitendo na pia kushikamana na wakimbizi na jamii zinazowahifadhi ambapo Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ameongoza maadhimisho hayo Jijini DSM.
Na unukuu ujumbe wa Shirika la UNHCR“Tunapoadhimisha siku ya Umoja wa Mataifa ya Wakimbizi Duniani, tunaheshimu ujasiri, ustahimilivu na uvumilivu wa wakimbizi zaidi ya Milioni 25 duniani kote ambao wamelazimika kuyakimbia makazi yao kutokana na ukosefu wa amani, migogoro ya vita na  jamii zinazoonyesha utayari wa kuwafungulia milango na kuwapokea”
Idadi ya watu waliolazimika kuyakimbia makazi yao hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 2018 ni Milioni 70 wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto.
Tanzania inahifadhi Wakimbizi 312,152 kutoka nchi za Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, tunawaalika wote kupiga hatua na wakimbizi yaani #StepWithRefugees kuelekea suluhisho la kudumu kwa tatizo la wakimbizi barani Afrika.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list