We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, June 20, 2019

PICHA: SIMBA ILIVYOJIFUA KATIKA UWANJA WA GWAMBINA AMBAPO KESHO ITASHUKA DIMBANI

Kikosi cha Simba kiko Misungwi mkoani Mwanza ambapo kesho kitashiriki hafla ya uzinduzi wa uwanja wa kisasa unaomilikiwa na Gwambina Fc inayoshiriki ligi daraja la kwanza
Uwanja huo wa kisasa umewavutia wadau ambao  wameushauri uongozi wa Simba kuharakisha ujenzi wa uwanja wa Bunju
Mchezo dhidi ya Gambina Fc utapigwa kesho Ijumaa saa kumi jioni na utarushwa mbarashara na Azam Sprt 2






No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list