Mchezaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Antonio Valencia amejiunga na klabu ya Ecuado LDU Quito akiwa huru.
Valencia mwenye miaka 33 aliondoka United mwisho wa msimu huu baada ya kukipiga kwenye klabu hiyo kwa miaka10 akitokea klabu ya Wigan.
LDU Quito ilishinda Ecuadorian Serie A mwaka uliopita na kwa msimu huu ipo nafasi ya saba.

No comments:
Post a Comment