We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, June 6, 2019

Kiongozi wa BAVICHA akamatwa, RPC aeleza kilichomponza


Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata viongozi watatu wa Baraza vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) akiwepo Petric Sosopi (Mwenyekiti BAVICHA) wakiwa mji mdogo wa Ifakara wilayani Kilombero wakituhumiwa kufanya kampeni za nyumba kwa nyumba.

Wengine waliokamatwa ni Daniel Ngogo na mwingine hajafahamika.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,  Wilbroad Mutafungwa amesema watu hao wamekamatwa Ifaraka na wapo njiani kupelekwa kituo kikuu cha polisi mkoa wa Morogoro.

"Watakapofika tutawafanyia mahojiano, walikuwa wakifanya kampeni za nyumba kwa nyumba wakati wakijua ni kinyume na kipindi cha kampeni hakijafika," amesema Mutafungwa.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list