Muda mchache ujao, kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kitashuka dimbani nchini Misri kuikabili Harambee Stars katika mchezo wa pili wa kundi C, michuano ya Afcon 2019
Kocha wa Tanzania Emmanuel Amunike ametumia mfumo wa 4-3-3 akiwajumuisha kiungo Erasto Nyoni, na washambuliaji Thomas Ulimwengu na Farid Mussa waliong'ara kwenye mchezo dhidi ya Senegal
Hiki hapa kikosi cha Stars;
1:Aishi Manula
2:Hassan Kessy
3:Gadiel Michael
4:David Mwantika
5:Kelvin Yondani
6:Erasto Nyoni
7:Simon Msuva
8:Mudathir Yahya
9:Mbwana Samatta (C)
10::Thomas Ulimwengu
11:Faridi Mussa
2:Hassan Kessy
3:Gadiel Michael
4:David Mwantika
5:Kelvin Yondani
6:Erasto Nyoni
7:Simon Msuva
8:Mudathir Yahya
9:Mbwana Samatta (C)
10::Thomas Ulimwengu
11:Faridi Mussa
No comments:
Post a Comment