Azam Fc imefanikiwa kutwaa kombe la FA (ASFC) baada ya kuichapa Lipuli Fc bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa uwanja wa Ilulu mkoani Lindi
Bao pekee la Azam lilifungwa na Obrey Chirwa, mshambuliaji wa zamani wa Yanga katika dakika ya 64
Azam Fc imejihakikishia kushiriki michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika msimu ujao
Timu hiyo pia imejinyakulia kombe na kitita cha Tsh Milioni 50
No comments:
Post a Comment