We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, May 2, 2019

Ubalozi wa Marekani nchini wapokea kwa majonzi makubwa taarifa za kifo cha Dkt.Reginald Mengi

Kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni wa IPP Dkt. Reginald Mengi ubalozi wa Marekani umetoa tamko la kusikitishwa kwake.
Ubalozi huo umetoa tamko hilo kupitia akaunti yake ya kijamii ya Twitter leo hii siku ya Jumatano.
”Tamko kufuatia kifo cha Reginald Mengi Ubalozi wa Marekani umepokea kwa majonzi makubwa taarifa ya kifo cha Reginald Mengi asubuhi ya leo — Statement on the Passing of Reginald Mengi The US Embassy was deeply saddened to learn about the passing of Reginald Mengi this morning,” imeandika ubalozi huo wa Marekani hapa nchini Tanzania.
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dkt. Reginald Mengi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko nchini Dubai falme za Kiarabu, taarifa zaidi tutakuletea.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list