We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, May 29, 2019

Spika wa Bunge mgeni Rasmi MO SIMBA AWARDS

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Job Ndugai anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika hafla ya tuzo za Simba inayofahamika kama Mo Simba Awards itakayofanyika keshokutwa Alhamisi, May 30 2019 Kilimanjaro Hotel jijini Dar es salaam
Uongozi wa Simba umesema maandalizi kuelekea tuzo hizo zilizoingia katika msimu wa pili yamekamilika
Baada ya kukabidhiwa ubingwa mkoani Morogoro jana, kikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam leo tayari kwa tukio hilo la kihistoria

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list