We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, May 29, 2019

“Ningekuwa Waziri Mkuu, ningemshauri Rais Uchaguzi huu aufute” Mchungaji Lusekelo (+video)

Tunayo stori kutokea kwa Mchungaji wa Kanisa la Maombezi GRC  Dar es salaam, Anthony Lusekelo ambapo amefunguka na kusema kuwa angekuwa Waziri Mkuu angemshauri Rais afute Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa sababu ni gharama.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mchungaji Lusekelo amesema waliopo madarakani waendelee na nafasi zao, hivyo anaomba uchaguzi wa Serikali za Mtaa ufutwe ili kutoisumbua nchi.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list