Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas ameeleza kuguswa na kifo cha Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi.
"Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa IPP, Mzee Reginald Mengi. Kama alivyopata kusema yeye mwenyewe siku za uhai wake kuwa watu wanaoacha alama hawafi, basi mawazo, falsafa, ubunifu na kujitoa kwake vitaendelea kuishi nasi," ameeeleza Dkt. Abass.
ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE.....

No comments:
Post a Comment