We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, May 1, 2019

Kiki aliyokuja nayo SoujalBoy yamtokea puani, akutana na rungu la kutumikia jela kwa siku 240 kwa kosa hili

Rapper kutoka Marekani DeAndre Cortez Way alimaarufu Soulja boy ambaye wengi walidai amerudi kwenye game kwa kupitia kiki ya kuwadis wasanii wenzake kama akina Tyga, Drake na Kanye West imemtokea Puani.
Baada ya rapper huyo Kukaa Ndani ya Jela Kwa miezi 8 ambayo ni sawa na Siku 240 Jela kwa kosa la kuvunja na kukiuka masharti ya muda wa uangalizi ambayo yaliwekwa na mahakama yaani Probation
Siku chache zilizopita Rapper SouljaBoy Alikutwa Akimiliki Silaha Nyumbani kwake Kitu ambacho ni kinyume na makubaliano ya kesi yake ya kumiliki silaha ya Mwaka 2014.
SouljaBoy alishindwa kumshawishi Jaji ambae alikuwa Akiendesha Kesi yake Jumanne Hii na Akashindwa Kutoa Vigezo ambavyo vingefanya apungiziwe adhabu ya kifungo hicho ambacho kimeanza leo .

.
Rapper huyo Ameandikiwa Pia Adhabu nyingine ambayo siku akitoka tu Jela Atatakiwa Kutumikia Siku Nyingine 40 kwa Kushiriki Kazi Tofauti za Jamii ambazo atapangiwa Kwa Kipindi Hiko.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list