We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, May 28, 2019

KANGI LUGOLA AWAKABIDHI UBINGWA SIMBA SC – PICHAZ

KLABU ya Simba yenye makao yake katika Mtaa wa msimbazi jijini Dar es salaam, leo Jumanne, Mei 28, 2019 imekabidhiwa rasmi kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa mwaka 2018/2019 baada ya kutoka sare ya bila kufungana na Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro.
Simba wamemaliza Ligi wakiongoza kwa pointi 93 mbele ya Yanga wenye pointi 86 na nafasi ya tatu ikishikwa na Azam wny pointi 78.
Mabingwa hao wa Soka Tanzania Bara wakishangilia Kombe la Ubingwa baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro

Stand United imeungana na African Lyon kushuka daraja, baada ya kufungwa 2-0 na JKT Tanzania.
Mwadui FC na Kagera Sugar zitacheza ‘Playoffs’ na Pamba FC pamoja na Geita FC kuwania nafasi ya kurejea ligi kuu.
Dakika 90 zimemalizika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, Azam FC wanalipa kisasi. Yanga SC 0-2 Azam FC
MATOKEO
Yanga SC 0-2 Azam FC.
Coastal Union 0-0 Singida.
Ndanda 1-3 Mwadui.
JKT TZ 2-0 Stand United.
Ruvu Shooting 1-0 Alliance FC.
Mbeya City 0-0 Biashara.
Mbao FC 1-1 Kagera Sugar.
Tanzania Prisons 3-1 Lipuli FC.
African Lyon 0-2 KMC FC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list