We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, May 29, 2019

BAKWATA yatangaza tarehe ya sikukuu ya Idd

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetoa taarifa kuwa sikukuu ya Eid El Fitr itakuwa siku ya Jumatano, Juni 5 au Alhamisi, Juni 6, kutegemeana na kuandama kwa mwezi.

Sherehe za Eid El Fitr kitaifa kwa mwaka 2019 itafanyika mkoani Tanga, ambapo swala ya Eid itafanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopoa barabara ya 10 ngamiani Tanga mjini kuanzia saa 1:30 asubuhi.
Baraza la Eid litafanyika katika ukumbi wa Tanga Beach Resort, ambapo mgeni rasmi atakuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.
Soma taarifa nzima ya BAKWATA kuhusiana na sikukuu ya Eid hapa chini.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list