We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, April 9, 2019

Uongozi wa Simba SC baada ya kukutana na shabiki wao aliyetoka Mbeya kwa miguu

Moja kati ya habari inayosambaa katika mitandao ya kijamii kwa muda mrefu ni habari ya Shabiki wa Simba SC wa jijini Mbeya Shaban Ramadhani aliyeamua kuja jijini Dar es Salaam kwa miguu, kwa ajili ya kuja kuisapoti timu yake ya Simba SC katika mchezo wa robo fainali ya CAF Champions League dhidi ya TP Mazembe siku ya Jumamosi ya April 6 2019.
Sasa Shabani amekutana na uongozi wa Simba SC na wameamuahidi kumfanyia utaratibu wa kupata kadi rasmi ya uanachama wa Simba SC, sambamba na kumgharamia gharama zote za kuungana na mashabiki wa Simba watakaosafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Lubumbashi Congo kuangalia mchezo wa marudiano wa Simba SC dhidi ya TP Mazembe.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list