Simba imeendeleza rekodi yake ya ushindi kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa JKT Tanzania bao 1-0 katika mchezo mgumu uliopigwa dimba la Uhuru
Simba ililazimika kusubiri hadi dakika za nyongeza kujipatia bao la ushindi lililowekwa kambani na Hassani Dilunga
JKT Tanzania walitoa upinzani mkali kwa mabingwa hao watetezi lakini uzoefu na kujitolea kwa wachezaji kulifanikisha Simba kuchukua alama zote tatu dakika za majeruhi
Ushindi huo unaifanya Simba izidi kuikaribia Yanga baada ya kufikisha alama 72 ikitofautiana kwa alama tano tu na Yanga inayoongoza ligi
Kituo kinachofuata ni Mbeya ambapo May 03 Simba itashuka dimba la Sokoine kuikabili Mbeya City

No comments:
Post a Comment