We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, April 9, 2019

Mbunge CUF Akerwa Mikutano ya Wapinzani Kuzuiwa

 Mbunge wa Malindi (CUF), Ali Saleh amezungumzia kitendo cha wapinzani kuporwa wabunge kwamba kinadidimiza demokrasia nchini.

Akichangia hotuba ya makadirio ofisi ya Waziri Mkuu jana Jumatatu Aprili 8, 2019 Saleh amesema hakuna uhuru kwa vyama vya siasa nchini.

Saleh amesema inasikitisha kuona viongozi wa CCM wanaendelea kufanya mikutano huku wapinzani wakielezwa kuhusu masuala ya kiintelejensia,

Huku akikatizwa na taarifa kutoka kwa wabunge wenzake, Saleh amesema CCM kinatawala lakini hakiongozi kutokana na yale yanayofanyika nchini.

Mbunge huyo ameitaka Serikali na viongozi kubadilika na kutoa haki kwa kila upande.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list