Jeshi la zima moto ana uokoaji limechukua hatua baada ya Askari wake waliohusika na vitendo vya rushwa na unyanyasaji wa wachimbaji wadogo mkoani Mbeya ambapo hatua zilizochukuliwa ni pamoja na wengine kufukuzwa kazi na wengine hatua za Mahakama za kijeshi zinaendelea, Kamishna wa Operesheni wa Jeshi hilo Billy Mwakatage amezungumza na Waandishi wa Habari ofisini kwake Dodoma leo April 5, 2019.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment