Hii video inamuonyesha Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akiitikia wito Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwa kwenye msiba wa marehemu Tryphosa Simon Sanga ambaye ni Dada wa Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa aliyefariki juzi jijini DSM.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment