We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, March 26, 2019

WAWA: TUPO NA NYONI MAZEMBE WAJE TU

BEKI kisiki wa Simba, Paschal Wawa amesisitiza kuwa hawana hofu hata kidogo dhidi ya TP Mazembe ambayo wanacheza nayo kwenye robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika April 5 Uwanja wa Taifa.

Akizungumza na Spoti Xtra linalotoka kila Alhamisi na Jumapili, Wawa amesema; “Nina imani kurejea kwa Erasto Nyoni ndani ya timu kunaongeza morali ya kushindana kwani nafurahi sana sapoti yake na namna anavyofanya akiwa Uwanjani ni kitu cha kujivunia.

“Furaha yangu ni kuona timu inapata matokeo chanya kwenye mechi zote ambazo tunacheza hapo kikubwa ni kuomba kuwa na afya bora na Mungu azidi kutulinda hali itakayotufanya tupate matokeo chanya hatuna hofu na hao Mazembe,” alisema Wawa ambaye mtaani wanamtania kama Sultani.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list