We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, March 25, 2019

WANAWAKE WENGI HUPENDA KUFANYA MAPENZI SIKU YA JUMAMOSI SAA 5 USIKU

Utafiti mpya na wa kina kabnisa umeonesha kuwa asilimia 85 ya wanawake duniani kote huwa wanafanya mapenzi saa 5 usiku kila Jumamosi. Kwa mujibu wa utafiti huo uliozingatoa vigezo vya kibinadamu, saa 5 usiku siku ya Jumamosi ndiyo muda ambao wanawake wengi wanajisikia hamu ya kufanya tendo la ndoa kuliko muda mwingine wowote katika siku saba za wiki.

Asilimia 85 ya wanawake waliohojiwa katika utafiti wa kiafya, walikiri kufanya kujisikia zaidi hali ya kutaka kufanya mapenzi muda huo katika siku ya Jumamosi kuliko muda mwingine wowote.
Utafiti mkubwa ulifanywa katika nchi za Kusini Mashariki, Magharibi Mashariki na meneo ya Scotland ambapo wanawake walisema muda huo mwili wenyewe huwa unahitaji kukutana kimwili na wanaume wenye uzoefu wanalijua hilo bila kuombwa wanapokuwa kitandani.

Aidha, utafiti mwingine umebaini kwamba, asilimia 75 ya wanawake duniani kote wanapenda kufanya mapenzi mara tatu kwa wiki, ikiwemo siku hiyo ya Jumamosi.
Kazi iko pale ambapo utafiti umeonyesha kuwa asilimia 25 ya wanawake dunaini kote hupenda kufanya mapenzi kila siku katika muda wa siku saba. Kundi hili la wanawake ndilo linalohusika zaidi na usaliti katika uhusiano na pia watafiti wanadai kuwa, katika asilimia hiyo 25, 23 hukumbwa na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list