We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, March 25, 2019

UNAAMBIWA DAR SASA POMBE ZINAUZWA NUSU BEI NI AGIZO LA MKUU WA MKOA

Unakumbuka juzi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alisema Baa za Dar es salaam zitauza pombe nusu bei kama Taifa Stars watawashinda Uganda kwenye mechi ya jana? Watu wapo mtaani sasa hivi kuzifata hizo Bia za Ofa, ngoma inaendaje? Makonda kaongea tena usiku huu.
Akiongea na Waandishi usiku huu Paul Makonda amesema yafuatayo >>> “Kazi niliyopewa na TFF na Mh. Rais wetu ni kuhakikisha Taifa Stars inashinda, moja ya majukumu ilikua ni kuikabidhi Timu ya Taifa Stars kwa Wananchi, Wananchi waimiliki Timu yao pia kuwaunganisha Watanzania bila kujali Dini, Kabila wala Itikadi za Vyama”iTumemnasa Makonda akisema>>> “kuhusu nusu bei ya vinywaji mpaka sasa hivi kuna zaidi ya Baa 40, kuna Hoteli kubwakubwa ambazo zimekwisha kutangaza ikiwemo Serena na tunavyotoka hapa tunaelekea huko mpaka na Bahari Beach kwahiyo yeyote atakae kwenda kwenye Bar aseme nimekuja kwa maelekezo ya Mkuu wa Mkoa”

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list