We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, March 27, 2019

Tahadhari ya Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wanaoomba mikopo (+video)

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESBL) imeanzisha kampeni maalumu kwa ajili ya kutoa elimu kwa wanafunzi wa Kidato cha 5 na 6 katika shule mbalimbali za sekondari kwa lengo la kuwaelimisha wakati wa kuombaji mikopo kupitia Internet Cafe.
Akizungumza hatua hiyo, Mkurugenzi Msaidizi Utoaji Mikopo HESBL Sarah Fihavangoamesema wanapita katika shule za sekondarina kuwaelimisha juu ya ujazaji fomu za mikopo ambapo wamegundua wengi wanakosea kujaza na kukosa mikopo.
Hatutaweza kuppita shule zote Tanzania isipokuwa tunapita katika shule chache ambazo wengine watakuwa mabalozi, pia wengi wanajisahahu kwa kuwaachia watu wa Internet Cafe kujaza fomu zao za mikopo,” amesema.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list