We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, March 24, 2019

Siri 5 za kukuwezesha kumpa mwanamke mapenzi moto moto!


umekuwa na wakati mgumu hivi karibuni kufurahia ngoma kila siku? Mambo haya yatasaidia kuwasha tena moto wa mapenzi na kukuwezesha kufika kileleni mara kwa mara!

1: Usilenge kileleni, kuna mlima wa kukwea ongeza Bidii nyingi 

kitandani si kiungo pekee cha kumtosheleza mwanamke; kila usipotia bidii ndivyo matokeo yanadidimia. Badala yake, tumia ujuzi zaidi; zingatia shughuli si shabaha. Kushiriki mapenzi si mashindano; achana na hesabu na ujivinjari!

2: Mwili wako kipimo tosha Mwili wako ni kipimo tosha kukuambia iwapo mambo ni shwari au la – acha kufuata kile ambacho mawazo na moyo unakuambia. Weka kando wasiwasi na uzime mijadala akilini mwako. Jifunze kubaini hisia na ashiki za mwili wako, na uzipatie usukani kama inavyotakiwa. Ni baada tu ya kujua kinachozuzua mwili wako ndipo utamwelekeza mwenzio maeneo atakayobonyeza. 

3: Weka kila kitu wazi Baada ya kubaini kinachozuzua mwili wako, jadili na mpenzi wako. Mwanzoni, mjadala huu hautakuwa rahisi lakini ndiyo njia ya pekee kwa yeye kupata ramani ya mwili wako. Usihofu, muambie kila kiungo kinachokuzuzua na atakushuru sana.

4: Imarisha, Mambo mapya huleta uchangamfu na msisimko wa kipekee chumbani. Tupa nje mitindo ya zamani kumbatia mapya! Soma majarida kisha ujadiliane na mpenzi wako mitindo mipya utakayodondoa hapo, asije akadhania umetumbukia katika ponografia ama kuna jamaa anamfunza moja kwa moja.

5: Kuwa na imani Kila kitu hutendeka kwa imani, hata kushiriki mapenzi. Uko na haki zote za kujivinjari; Mungu mwenyewe aliumba ngono kwa sababu anataka ufurahie mahaba!


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome nenda sehemu ilipo radio shuka chini Bonyeza neno SHARE THIS APP

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list