We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, March 24, 2019

Sasa Diamond na Rayvanny ni namba moja Afrika nzima


Wimbo Tetema kutoka kwa Rayvanny akishirikiana na Diamond Platnumz unazidi kufanya vizuri ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. 

Kwa sasa wimbo huo umeweza kukamata nafasi ya kwanza kwenye chati za muziki za Trace Africa. Hii ni baada ya wimbo huo kushika namba mbili kwenye chati za 'DNA Top 5' za BBC Radio 1Xtra nchini Uingereza. 

Huo ni wimbo wa nne kwa Diamond kufanya na Rayvanny, wa kwanza ulikuwa Salome, kisha Iyena na Mwanza uliokuja kufungiwa na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kutokana na kukiuka maadili.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list