Kutoka Tabora kikao kazi cha wadau wa maji kikiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri kimejadili namna ya kupokea Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria unaogharimu Bil.602 unaotarajiwa kuanza kupokea maji mwezi September huku oparesheni ya kukata maji kwa wadaiwa sugu ikitangazwa.
“Kama kuna Taasisi za Serikal na watu wengine hawako tayari kulipia wakatie maji, hatutaki watu wasijue thamani ya kitu na kitakachoanza kutusumbua ni wizi wa koki hapa pata tembea undava undava, kwenye mradi kutakuwa na promotion” RC Mwanri
No comments:
Post a Comment