Post ya Haji Manara baada ya tukio alilofanyiwa Gadiel Michael
Ukiachana na ushindi wa Yanga jana mbele ya Alliance fc moja ya tukio ambalo liliongelewa zaidi baada ya mchezo huo lilikuwa ni tukio la udharilishaji alilofanyiwa mchezaji Gadiel Michael.
Katika dakika za Mwisho kabisa za Nyongeza mchezaji wa alliance Fc Juma Nyangi aliyekuwa amevalia jezi namba 12 alionekana kwenda kumshika makalio Gadiel Michael wa Yanga
Afisa habari wa Simba Haji manara ameandika Ujumbe huu kuhusiana na kitendo hiko.
Huu mchezo ni wa kiungwana ila kuna mambo ya kihuni ambayo sisi wadau lazma tuyakemee kwa nguvu zote,bila kujali kafanya mchezaji wa klabu gani!! Nnavyojua mm hata Gangsters (Wahuni) wakubwa nao wana Code of conduct ,vp umfanyie mchezaji mwenzio usela wa kizamani?

No comments:
Post a Comment