Kwa sasa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) imeshika kasi ikiwa raundi ya pili, inaelezwa Simba SC wapo katika mikakati ya kumrejesha kiungo wao wa zamani, Ibrahim Ajibu.
Ajibu ambaye mkataba wake na Yanga SC unamalizika mwishoni mwa msimu huu na atakuwa huru kusajiliwa na timu yoyote ile itakayofikiana naye makubaliano yenye maslai.
Taarifa za ndani kutoka Simba SC zinasema mabosi wa ngazi ya juu wameanza mchakato wa kumalizana haraka na Ajib ili kuongeza makali kuelekea msimu ujao wa Ligi na michuano mingine.
No comments:
Post a Comment