We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, March 25, 2019

Majibu ya Rais Magufuli juu ya ishu ya mapumziko na watu kulewa (+video)

Leo March 26, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuliamezungumza na wachezaji wa Timu ya Taifa ambayo jana iliibuka na ushindi na hivyo kupata tiketi ya kwenda AFCON.
President JPM amesema hakushangazwa baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii watu wakisema kwanini asitangaze leo iwe siku ya mapumziko.
“Sikushangaa kuona wengine wamelewa ndio furaha na Watanzania wanapenda furaha” Rais Magufuli
“Wengine walikuwa wanasema kwanini usitangaze kesho ikawa mapumziko, nikasema Watanzania na mapumziko jamani, ila sikushangaa ndiyo dhana ya kufurahi” Rais Magufuli

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list