We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, March 25, 2019

Kilichojiri Buckers baada ya RC Makonda kusema ‘Vinywaji viuzwe Nusu Bei’ (+video)

Baada ya siku kadhaa zilizopita Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alisema Baa za Dar es salaam zitauza pombe nusu bei kama Taifa Stars watawashinda Uganda kwenye mechi ya jana iliyofanyika katika uwanja wa Taifa.
Sasa kati ya zaidi ya Bar 40 zilizofanya mauzo ya Nusu Bei baada ya ushindi,  Ayo TV imekusogezea hii ya ‘Buckers BAR’ kujionea kile kilichojiri unaweza ukabonyeza play kuitazama hii video hapa

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list