We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, March 24, 2019

KIKOSI CHA TANZANIA DHIDI YA UGANDA (KUFUZU AFRCON)

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania "Taifa Stars" dhidi ya timu ya taifa ya Uganda "Uganda Cranes", mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika 2019 (AFCON) nchii Misri leo saa 12:00 jioni kwenye Uwanja wa Taifa kwa "Mkapa" Jijini Dar es salaam. 

1.Aishi Manula 
2.Hassan Kessy 
3.Gadiel Gadiel 
4.Aggrey Morris 
5.Kelvin Yondani 
6.Erasto Nyoni 
7.Farid Mussa 
8.Mudathir Yahya 
9.Mbwana Samatta 
10.John Bocco 
11.Simon Msuva 

Wachezaji wa akiba 
1:Metacha Mnata 
2:Feisal Salum 
3:Himid Mao 
4:Shiza Kichuya 
5:Thomas Ulimwengu 
6:Shabaan Chilunda 
7:Kennedy Juma 
8:Ally Sonso 
9:Rashid Mandawa 
10:Aaron Kalambo 
11:Yahya Zayd 
12:Jonas Mkude 

Usikubali kupitwa na chochote kile tembelea App hii kila mara kupata Habari zote zinazojiri Tanzania na nje ya Tanzania katika Mapenzi na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Siasa na Burudani.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list