We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, March 27, 2019

Jaji Lubuva akumbushia ya Uchaguzi 2015 Mbeya na kupigiwa makofi (+video)

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha DSM (UDSM) Jaji Mstaafu Damian Lubuva akiwa Mbeya na Rais Mtsaafu Kikwete katika kujionea eneo ambalo wamepanga wajenge Chuo cha Afya amabcho kitakua chini ya UDSM aligusia utendaji kazi wake akiwa NEC nakusema alifanya vizuri kiungozi katika Tume hiyo ya Uchaguzi.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list