We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, March 27, 2019

Harmonize amtupia dongo Jacqueline Wolper, nae ajibu


Msanii wa Muziki, Harmonize amefunguka hisia zake kwenye wimbo wake aliwahi kumuweka kama video vixen aliyekuwa Mpenzi wake Wolper na huu mpya aliomuweka mpenzi wake wa sasa Sarah. 

Harmonize kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa hauwezi kufananisha ile video ya kwanza aliyoshoot na naniliu akaweka... Fundi Naniliu ambapo Mpenzi wake wa zamani huyo anajiita fundi cherehani wa kishua. 

"Nilikwambia kuwa Baby yupo katika #AfroBongo na ameuwa 😂 tuseme ukweli huwezi fananisha na ile video ya kwanza niliyo shoot na naniliu....!!!! Fundi naniliu 😂😋😋 Natania 😂 ila Mtoto kama sio wewe waliekuwa wanakuita Sarah Masai.....????? Thanks for the Love & support @sarah__tz ❤❤❤❤ OYAAAAA LINK PA BIO," aliandika Harmonize. 

Hata hivyo nae Wolper hakukaa kimya amejibu mashambulizi hayo kwa kusema kuwa Mwaka 2019 hatoi kiki huku akisema kuwa video acheze mwingine caption aandikwe mwingine Pazitoo. 

Pazitoooooo,Sitoikiki2019 👉💰,sema mapensi mavumilivu sana vdio acheze mwingine caption Andikwe mwingine ,kunimiss  kama kotee ," aliandika Wolper. 

"Iknow bby But nipo kwenye Dunia yangu kama hivi Naogelea." 

Machi 16, 2017, Harmonize alitoa wimbo wake wa 'Niambie' aliomuweka Jacqueline kama video vixen.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list