Jana usiku Mtanzania, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kumchakaza Muargentina Sergio Gonzalez kwa KO kunako raundi ya 5 ya mchezo.
Pambano hilo lisilo la ubingwa, lililopigwa kwenye Ukumbi wa KICC . Tazama video ya pambano hilo