We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, March 26, 2019

FIFA wamekubali kuwasikiliza Chelsea

Shirikisho la soka Ulimwenguni FIFAlimetangaza rasmi kupokea taarifa za rufaa ya club ya Chelsea ya England, ambayo hivi karibuni ilikumbana na adhabu ya kufungiwa kwa madirisha mawili kutokufanya usajili wa mchezaji yoyote.
Chelsea walipewa adhabu ya kutofanya usajili wa mchezaji yoyote baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kina na kudaiwa kuwa walimsajili staa wa Burkinafaso  Bertrand Traore akiwa na miaka 16 mwaka 2017, kitu ambacho ni kinyume na sheria na kanuni za FIFA.
Baada ya kukata rufaa ya kupinga hukumu hiyo FIFA imepanga kusikiliza shauri la ChelseaApril 11 ili kutoa uamuzi wa mwisho, adhabu waliyopewa  Chelsea iliambatana na faini ya pound 460000 huku FA pia wakipigwa faini ya pound 390000.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list