Droo ya makundi ya fainali za michuano ya AFCON 2019 zitakazopigwa nchini Misri, itafanyika April 12 jijini Cairo
Baada ya kufuzu jana, Tanzania itakuwa miongoni mwa timu 24 zitakazopangwa katika makundi sita ya timu nne nne kuwania ubingwa wa Afrika
Timu zote zilizofuzu;

Baada ya kufuzu jana, Tanzania itakuwa miongoni mwa timu 24 zitakazopangwa katika makundi sita ya timu nne nne kuwania ubingwa wa Afrika
Timu zote zilizofuzu;
No comments:
Post a Comment