We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, March 26, 2019

Dereva apakia Matofali kwenye gari la kubeba wagonjwa (Ambulance)


Naibu Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Oulanyah amesema kuwa dereva aliyepakia Matofali katika gari la kubeba wagonjwa atashtakiwa. 

Oulanyah kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa dereva huyo amevunja sheria za utumishi wa umma kwa kutumia vibaya gari hilo. 

"I have ascertained that the incident in which a driver misused an ambulance by carrying bricks happened on Thursday last week. The driver breached the Public Service Standing Orders and abused the use of the District Vehicle, " aliandika. 

"He has been indicted and will be punished accordingly." 



No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list