(1) MWENDO WAKE
Mwanamke ambaye anapotembea kwa mwendo wake anaonyesha hali ya kujiamini na hali ya uanariadha na mwanamke ambaye sie mvivu awapo na mwanaume kitandani. Mwangalie mwanamke ambae anatembea asienyooka na macho yake yanaangalia mbele mara kwa mara badala ya kuangalia chini hali hizo zinaonyesha wazi kuwa mwanamke huyo hata ukimweka kwenye sehemu inayobana ataweza kujichomoa kwa urahisi.
(2) MWANAMKE ASIYE NA KINYAA
Ingawaje uchafu ni kitu kibaya lakini uonapo mwanamke ambaye anajifanya yeye ni msafi sana na mwepesi wa kuona kinyaa jua basi mwanamke huyo atapata shida kutulia awapo na mwanaume kitandani. Mwanamke wa aina hiyo akilini mwake atakuwa na mkandamizo wa mambo na hivyo akili yake kushindwa kuwa huru kufanya vitu ambavyo vitamfanya aonyeshe ufundi ambao mwanaume anahitaji ili aweze kufurahia tendo la ndoa. Kuwa makini na wanawake wa aina hii kwani pia wanakuwa wepesi kulaumu wanaume kuwa hawajui kitu. Usibabaishwe na vipodozi au nguo za kichokozi hizo zaweza kuwa dalili za ukicheche.
(3) ASIEJUA KUBUSU
Ukitaka kujua mwanamke ambaye atakushangaza kitandani angalia mwanamke ambae anajua kutoa mabusu na anapenda kupiga busu. Usibabaishwe na uzuri wa sura au maumbile yake kwani utajikuta kitandani na mwanamke alie kama samaki aliekufa kwenye sahani. Njia nyingine ya kupima jambo hili mwangalie ushikapo mtoto mdogo chini ya miaka 2, angalia kama atambusu mtoto au la kama hawezi hata kumbusu mtoto basi kumbusu mwanaume mwenye ndevu itakuwa sawa sawa na kumwambia mwislam ambusu nguruwe.
(4) ANALEGEZA MACHO KWA URAHISI
Mwanamke ambae ana ujasiri wa kumwangalia mwanaume machoni na kuyalegeza macho yake anaonyesha kuwa ana hazina ya maarifa ambayo hata akimwangalia mwanaume alievaa nguo anamwona kama vile yuko uchi tayari, anamfanyia manjonjo. Mara nyingi wanawake wenye kulegeza macho wamekuwa na mvuto mkubwa kwa wanaume.
(5) JINSI ANAVYOKULA CHAKULA
Wanasayansi wamegundua kuwa upo uhusiano mkubwa wa jinsi mwanamke anavyokula chakula na ufundi wake katika tendo la ndoa. Mwanamke ambaye anakula chakula polepole na anatafuna chakula kama vile anasikiliza utamu wa chakula kwa masikio yake anaashiria kuwa hufanya mapenzi kwa kufuata utaratibu au hatua fulani ambazo amejifunza. Kwa maneno mengine ni kama vile ana kitabu kichwani na ana uwezo wa kufuata maelekezo taratibu ili afuate hatua zote za muhimu katika kumridhisha mwanaume alie nae kitandani.
No comments:
Post a Comment