Azam Fc imekuwa timu ya tatu kutinga nusu fainali ya kombe la FA (ASFC) baada ya kuichapa Kagera Sugar bao 1-0 katika mchezo uliopigwa dimba la Kaitaba
Wauza Ice Cream hao wameungana na KMC na Lipuli Fc kuwa timu tatu ambazo tayari zimetinga nusu fainali
Alliance Fc na Yanga zitachuana kesho Jumamosi katika mchezo ambao utatoa timu ya nne itakayoingia nusu fainali
Azam Fc sasa itachuana na KMC katika mchezo wa nusu fainali wakati Lipuli Fc itamsubiri mshindi wa mchezo kati ya Alliance dhidi ya Yanga

No comments:
Post a Comment