Aliyekuwa Makamu wa Rais Shirikisho la soka nchini TFF, Michael Wambura, amemcharukia Rais Walleece Karia kwa madai ya kutaka kubadili baadhi ya vifungu vya katiba ya shirikisho hilo ili kujimilikisha madaraka zaidi ya kuteuwa wajumbe wengi. Pia Wambura ameongeza kuwa TFF wanatumia shilingi milioni 300 kwenye mkutano wa February 2, 2019 na baada ya muda wanaanza kulalamika kuhusu fedha za kambi ya timu za Taifa.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...

No comments:
Post a Comment