Ni habari kutokea Bungeni Dodoma leo February 1, 2019 ambapo miongoni mwa Wabunge waliosimama kuuliza maswali kwa Serikali ni pamoja na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu Profesa J ambaye alitaka maelezo ya Serikali kwanini jimbo lake lenye vijiji 57 lakini kati ya hivyo ni vijiji 16 pekee ndio vina umeme, Majibu yakatolewa na Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment