Waziri wa mambo ya ndani kangi Lugola amewataka watu kutowadhania wengine na kuwaita shoga kwa kuwa ni kosa kisheria endapo hakuna ushahidi halisi.
Amesema kuwa wakati mwingine mtu ana maumbile tofauti hata kutembea ukamdhania kuwa ni shoga kumbe siyo kweli huku akisema haitakiwi kuwaita mashoga bali ni kuita Kinyume na maumbile
TAZAMA FULL VIDEO HAPA

No comments:
Post a Comment