Jana Yanga iliungana na timu nyingine sita kutinga robo fainali ya michuano ya kombe la Azam (ASFC)
Timu nyingine zilizotinga robo fainali ni Kagera Sugar, KMC, African Lyon, Singida United, Lipuli Fc na Alliance Fc
Leo Azam Fc itachuana na Rhino Rangers katika mchezo ambao mshindi ataungana na timu hizo saba ambazo tayari zimetinga robo fainali
No comments:
Post a Comment