We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, February 23, 2019

R.Kelly ajisalimisha mikononi mwa polisi mjini Chicago (+video)

Mwanamuziki R. Kelly (52) amejisalimisha katika kituo cha polisi mjini Chicago usiku wa February 22,2019, R.Kelly anashtakiwa kwa kosa la kuwanyanyasa kingono wanawake 10 ambao watatu kati yao walikuwa chini ya umri wa miaka 17 .
Inaelezwa kuwa R.Kelly aliondoka studio kwake na kuelekea polisi na mpaka sasa taarifa zinaripotiwa kuwa tayari R.Kelly yupo rumande baada ya kufikishwa mikononi mwa polisi mjini Chicago na hivyo atafikishwa Mahakamani March 8,2019.
Kwa mujibu wa Mwanasheria Kim Foxxamethibitisha kuwa makosa 9 kati ya hayo 10 yanahusu unyanyasaji wa kingono kwa wasichana wenye umri wa miaka 13 hadi 16 na ni kuanzia mwaka 1998 mpaka 2010.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list