We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, February 24, 2019

Makamu wa Rais amsimamisha Kapuya mbele ya umati ishu ya kuoa juzi (+video)

Leo February 24, 2019 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu amemtania Prof. Juma Athumani Kapuya baada ya kuoa Mke wa pili hivi majuzi.
“Kapuya tuliongoza Wizara za Kazi, Ajira pamoja yeye akiwa Bara mimi nikiwa Zanzibar lakini mwenzangu kaenda extra mile juzi,naomba Wnawake wote tumpigie makofi”Makamu wa Rais 

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list