We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, February 25, 2019

Kuhadithiana Utamu Kuna Waponza Wadada Wengi Mjini...Soma Kisa Hichi



Siku moja nimeshuka katika usafiri wa umma niliamua kuingia supermarket moja pale Tabata fulani siitaji jina, ambayo wanauza maji ya kilimanjaro buku badala ya buku jero ili budget yangu niiminye. Baada ya kuchukua maji nikalipa yakawa scanned nikaanza kuondoka lakini kabla sijatoka dada mmoja mhudumu wa pale Supermarket mwenye midomo ya duara na macho ya golori akaniita na kuniambia Anaomba nimtafutie Diary kama yangu niliyokuwa nimeibaba. 
Basi Nilimuahid kumpelekea na kweli baada ya siku tatu nikampelekea. Basi ikawa kila nikipita pale ananiita mkaka wa Diary. Tulibadilishana contact tukawa tunawasiliana mpaka ikafikia hatua tukazoeana sana. 

Siku moja nikapita pale kununua mchele akawa ananitania anataka aje anipikie mapishi ya kizigua basi baada ya mimi kumsikia ni mzigua nikautathmin na ule mguu nikajisema yakheee "jipele limepata nkunaji"( in makonde's accent). Siku ile nilimchatisha sana na akaniahidi atakuja siku moja ghetto. 

Siku aliyokuja nilikula supu asubuhi, mchana ugali choroko plus mboga nyingi za majani na dakika chache kabla hajafika nikanywa glass mbili za juice ya tende ili hata nikibarikiwa kufumua niwe na nguvu za kusimamia zoezi kwa ufasaha. kweli nilitumia ujanja mpaka nikatikisa nyavu na kwa mara ya kwanza nikafinyiwa kwa ndani na nikamaliziwa kwa massage hatari sana. Ile toto ina midomo duara,macho golori na mguu wa hatari plus chocolate skinned colour. 

Tukawa tunawasiliana na kila tukiongea anampa mwenzake simu na yy anaongea na mimi ananiomba diary kiutaniutani. Siku moja nikapita pale sikumkuta yule niliyemgegeda ila nikamkuta yule mwenzake akanipa namba ili nikitaka kumpelekea Diary nimjulishe. Naye akawa ananichatisha ila cha ajabu alikuwa akiniasa nisimwambie mwenzie kama huwa tunachati. nami mdomo wangu nikaufunga na kuuambia 'mdomo koma mwili ufaidi mema ya nchi'. Alianza kijitabia ambapo tukiwa tunachat ananiulza eti nilimfanya nini mwenzie nikimwambia sijamfanya chochote anatuma zile emoj za aibu halafu anapotea kama vile anajua nilichomfanya. Kuna siku nilijifanya kukasirika aliponiulza mpka akafunguka akaniambia kasimuliwa na mwenzie eti zoezi tulilofanya lilidumu kwa muda mrefu sana halafu eti nagegeda kwa kukomoa.

Nikamwambia kwani hicho ni kitu cha ajabu?? Akatuma emoj za aibu akakimbia. Katika chating siku moja usiku tunachat nikamwambia sitoenda job nitampelekea Diary pale Supermarket akakataa akasema na yeye hiyo siku hataenda anapumzika. Basi nikamwambia aifate kwangu akasema atapita ila hatoingia ndani. Kesho yake saa tatu asubuh akantext nikamuelekeza akaja. Ile anafika nikamkaribisha akaingia kumbe ile sitoingia ndani ilikuwa ni geresha tu. tukaanza kupiga story na akaanza kuonyesha hana haraka akaniambia yule mwingine niliyemgegeda mara ya kwanza ni mtoto wa mama mdogo wake ila yeye kakulia Tanga mjini halafu kachanganya uzigua + unyamwezi. 

Nilitumia njia ileile kama ya mwenzie nikamgegeda bila kumtongoza. Cha ajabu kuna vitu alivyokuwa anafanya wakati wa kuduu mwenzake na yeye alivirudia. Nikiri tu huyu huyu wa pili she is a goodkisser, anajua kutekenya kwa kucha zake za kuchonga na kiuno chepesi. Wakati namgegeda akasistiza nisimpe tena mwenzie anataka atulie na mimi na nifanye juu chini mwenzie asijue. Alipika na kufua kisha akaniaga kwa top french romance 

Sasa nawagegeda kwa zamu na maana off zao zinatofautiana. Huyu wa pili nimemuelewa zaidi ila sasa huyu wa kwanza kila nikimgegeda anaenda kusimulia kwa mwenzie na mwenzie anajifanya hata hamna chochote ila akija kwangu ananimaind na kusema hadi bao nilizompiga mwenzie. 

Hii kusimuliana inawakost wadada wengi mjini hapa na kujikuta wanawapoteza Wanaume zao kwa kuchukuliwa na marafiki zao wa karibu..

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list