We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, February 1, 2019

KIKAWAIDA TENDO LA NDOA LINACHUKUA MUDA GANI !?? JIBU HILI HAPA

Ni muda upi unaotosha kukata kiu ya mume au mke wakati wa tendo la ndoa? Famasia yako ya Ndoa Maridhawa inakuletea jawabu la swali hilo.

Tendo la ndoa ni miongoni mwa njia bora kabisa za kuonesha upendo na mahabba baina ya wanandoa na kuimarisha hisia maridhawa kati yao.
 Hivyo, kila mmoja anatarajia kuwa kiu yake itakatwa wakati wa mahabba kwa kufikishana kileleni.

Ili kufanikisha hilo, wanandoa wanatakiwa wajue umuhimu wa kuchezeana vya kuhamia kwenye hatua ya pili ya kula nchi.
Hatua hizi za mwanzo kabisa za kuchezeana zinatakiwa zitumie angalau dakika 10 ili kuamsha hisia kwa pande zote na kurefusha muda wa tendo.
Ama kuhusu tendo lenyewe, tafiti mpya zinaonesha kuwa linatakiwa kutumia kati ya dakika 4 mpaka 9.
Muda huo ni muda wa makadirio ya kawaida. Kadiri muda unavyokuwa mrefu zaidi ndivyo unavyomsaidia mwanamke kufika kileleni na kupata mshindo wa tendo.

Tofauti na ilivyo kwa mwanaume, mwanamke anahitaji muda zaidi kufika kileleni. Kwa muktadha huo ninawashauri wanaume kujidhibiti wasiwahi kumwaga na warefushe zaidi muda wa tendo ili waweze kukata kiu za wake zao.
Uzingatiaji wa kuchezeana pamoja na mbinu za mikao na maandalizi mazuri ni njia maridhawa ya kumfanya mkeo afike kileleni mapema.

ZINGATIA: Kanuni namba moja ya mahabba ni usafi na kanuni namba mbili ni ubunifu, sio mabao mengi au masaa kayaya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list