Kikosi cha Yanga dhidi ya Namungo leo 24 February 2019
Kikosi cha Yanga mabingwa wa kihistoria ligi kuu soka Tanzania Bara TPL leo mechi ikichezwa katika uwanja wa Majaliwa wilayani Ruangwa mkaoni Lindi.
- Klaus Kindoki
- Paul Godfrey
- Haji Mwinyi
- Abdallah Haji Shaibu
- Andrew Vincent
- Feisal Salum
- Mrisho Ngassa
- Papy Tshishimbi
- Heritier Makambo
- Mohammed Issa
- Ibrahim Ajibu
Wachezaji wa Akiba
- Ramadhan Kabwili
- Gadiel Michael
- Juma Abdul
- Said Juma
- Haruna Moshi
- Deus Kaseke
- Amis Tambwe

No comments:
Post a Comment